UTAFITI:Faida za Kiafya Kwa Wanawake Wenye Makalio Makubwa Hizi Hapa
Imezuka tabia ya wanaume wengi kupenda sana wanawake wenye makalio makubwa,siku hadi siku tabia hii inazidi kuwa sugu kwani kwa sasa mwanamke mwenye makalio makubwa yaliyojazia sawasawa huonekana anasoko kuliko wale wenye makalio ya wastani.
Hulka hii ya wanaume imewaathiri pia na wanawake wenyewe kwa kudhani kuwa na makalio makubwa kunawavutia na kuwadhibiti wanaume wao huku baadhi ya akina dada hufanya kila liwezakanalo kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa wengine wakidiriki hata kufanya upasuaji au kutumia dawa za kisasa ili kutengeneza umbo au shepu mpya yenye makalio makubwa. Jifikirie uko wapi
Wanataja sababu kubwa iliyowapelekea wanaume hao kuchagua wanawake wenye maziwa na makalio makubwa ni ishara ya kisaikolojia kuwa wanawake wenye maumbile hayo ni hazina kubwa ambayo huwafanya watengeneze picha ya ukubwa wa hazina kwenye ubongo wao.