Habari za uhakika ambazo hazina hata chembe ya uongo toka kwa chanzo chetu cha habari toka kampuni moja ya mtanzania anaeishi nchini Afrika Kunini aliyefahamika kwa jina la Fortunatus Kasomfi ambae nae ni msanii wa bongo muvi na ndiye staa wa filamu ya Our Teacher zilisema wazungu wamefurahishwa sana na tabia ya mastaa wa bongo kupenda kupiga picha za utupu hivyo wametenga mamilioni ya shilingi kuja kuwashawishi ili wacheze mikanda hiyo ya ngono.
Katika baadhi ya mabanda ilibainika kuwa huanza kuonyesha mikanda ya ngono kuanzia saa tatu na saa sita usiku wakati watu wengi wamekwenda kulala.
Akizungumza ofisini kwake jana, Ofisa Mtendaji wa kata hiyo, Nhikilo Elias alisema, wakati wakiendelea na oparesheni hiyo siku ya ijumaa, walipata taarifa kutoka kwa wananchi wa mtaa wa Nenetwa juu ya kuwepo ukumbi video unaoonesha mikanda ya ngono kwa watoto wa kiume walio chini ya miaka 18 wakati wa asubuhi muda wanaotakiwa kuwa shuleni.
I got an error when visiting www.jamiiforums.com/threads/mastaa-wa-bongo-wenye-nyota-ya-ngono.617352/.