DODOMA: Rais John Pombe Magufuli ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) na mamlaka zingine zinazohusika, kuwachukulia hatua kali wasanii wanaopiga picha nusu utupu na kuzitupia katika mitandao, sambamba na wale wanaocheza hivyo katika video, ambao miongoni mwao, wapo Sanchoka maarufu kama Sanchi, Sasha na Amber Lulu.
IMEBAINIKA kuwa wapo baadhi ya wasanii wa filamu na muziki nchini kuwa na tabia ya kujipiga picha za uchi na kuzitumia visivyo ikiwemo kuzituma kwenye mitandao hali inayochangia mmomonyoko wa maadili nchini.
IMEBAINIKA kuwa wapo baadhi ya wasanii wa filamu na muziki nchini kuwa na tabia ya kujipiga picha za uchi na kuzitumia visivyo ikiwemo…
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Japhet Hasunga amewashauri wasanii wanaopiga picha za utupu waache kupiga picha hizo badala yake watembelee Hifadhi za Taifa ili wakapige picha na simba, twiga chui pamoja na sokwe kwa ili waweze kutangaza vivutio vya utalii vilivyopo nchini.