CHEKI MAAJABU YA SHEPU YA ZUCHU MAPAJA NJE NJE HATARI Download Video 3gp Mp4 dan mp3 convert – Zuchu akiwa katika Uzinduzi wa album ya Rommy
“Sijawahi kumuona Jaguar katika Maisha Yangu, sijawahi kuonana naye, sijawahi kuwa na number yake ya simu ila sijawahi kuongea naye. Said Hamisa”
SHEPU YA HAMISA MOBETO GUMZO MTAANI
Kiumbe chochote kile chenye sauti nyororo, mapaja manene, kashepu ka’ chupa ya CocaCola hivi kitakachomvutia, hakimpiti kwa urahisi.
Ukipenda unaweza ukamwita anavyoitwa na Watanzania wenzake ‘Miss Magodoro’. Watanzania wanamini kuwa lile shepu la Hamisa hasa mwonekano wa makalio yake huwa sio asili. Wamedai kuwa Hamisa huvalia mavazi speshio ya magodoro ili yamfanye aonekane vile kiasi cha kumpagawisha hata rapa Rick Ross.
Mnakumbuka Mondi akisema yupo radhi kutambaa kwa magoti hadi Sauzi akamwombe msamaha Zari? Chanzo, ile mimba. Baada ya kuachwa na Zari, alilipiza kisasi kwa kumtema Hamisa kwa kumwanika wakati muda wote walikuwa wakikanyagana chini ya maji.
“Unajua baada tu ya kujifungua kulienea habari nyingi kuwa mtoto huyo ni wa msanii huyo hasa baada ya Hamisa kumpa mwanaye jina hilo.
“Baada ya kuona anaweza akabumburua ishu, msanii huyo alimpiga biti asizungumze na vyombo vya habari kabla ya kumwekea ulinzi wa chinichini kuhakikisha waandishi hawamfikii Hamisa.
“Sehemu pekee ambayo Hamisa aliona jamaa huyo hawezi kumzuia ni kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii hasa Instagram na Snapchat ‘so’ akawa anaposti vipande vya baadhi ya viungo vya mtoto huyo.
“Mwanzoni tulidhani ni ishu ndogo lakini kwa vitisho anavyopokea Hamisa, vinamnyima raha na kumfanya alie tu.
“Hata kwenye ukurasa wake wa Snapchat, Hamisa ameshatahadharisha juu ya kutishiwa kuuawa yeye na mwanaye.”