Download Picha za Zari apk 1.0 for Android. Angalia picha za zote za Zari kupitia Picha za Zari App
Selfie ya utupu aliyoshare Kim Kardashian kwenye akaunti yake ya Instagram ili kuwajibu waliodhani anafake ujauzito (Ingia hapa), imempa ‘wazo’ Zari The Boss Lady a.k.a mama Tiffah la kufanya hako kamchezo atakapopata ujauzito mwingine na Kupitia Instagram Zari alishare picha ya utupu aliyopost Kim Kardashian na kuandika “mlisema nilikuwa mtupu kwenye photoshoot ya tumbo la…
Hapo wote njaa kali hamumwezi hata kuufikia unyayo wa zari wivu umewajaa mtabaki kusikia labda mkafute mavi yake jeaouls will u guys.
Hv mkiulizwa huo wivu mkubwaa kwa zari ni kitu gani eeh khaaa mwenzenu anapiga kazi maisha yana kwenda kuzaa ana zaa kaaeni vijuso kwa kushika matamaa mmeoza kwa umbea
tutokee afrit mjaa laana kama zari.
Dangote congratulation don't listen guys,people they are so jealous,they want misleading your family&destroy your relationship among your mother& zari,people to be provocative for diamond family is so bad.
Baada ya Hamisa Mobetto kumtibua upya mama watoto wa Diamond, Zari The Boss Lady ikiwemo kumuita mcheza picha chafu, Zari ajibu mapigo tena.
Mobetto ambaye alikuwa nchini Uganda weekend iliyopita kwaajili ya show ya Girls Power, alimtupia dongo Zari na kumuita mcheza picha za uchi.
Alhamisi hii Zari ameamua kumtolea uvivu Mobetto kwa kuandika ujumbe mkali mfululizo kupitia mtandao wa snapchat.
“Kijana, kijana kila siku kijana, kijana na mzuri lakini huwezi kutafuta mwanaume wa kwako mwenyewe….namna chan**doa usivyojiamini, Kama unajiamini na uzuri na akili basi acha tuone mwanaume gani atakutaka baada ya drama hizi, baby daddy 3 loading ukiwa na miaka 20+ atakuwa mjinga pia,” alisema Zari kupitia ujumbe huo.
Zari akaongeza “sio wewe cha***doa uliyelia social media ukidai Lulu kakuibia bwana’ko lakini umegeuka kufanya hicho hicho ulicholilia wakati unajua inavyouma, Mungu hawezi kubariki furaha yako juu ya maumivu ya mwanamke mwingine…ng’oo!!!”