Baba Mzazi wa msanii Nandy amefunguka kuhusu tukio la aibu alilowahi kulifanya binti yake la kuvuja kwa video yake ya utupu na msanii Billnass, na kusema kwamba lilimtia aibu sana kwenye jamii.
Amber lulu afikishwa polisi kwa picha ya utupu na Young D
Msanii wa muziki, Willy Paul kutoka nchini Kenya ametangaza ujio wa ngoma mpya akiwa na Nandy aka African Princes. Awali wawili hao walikutana kwenye wimbo Njiwa ambao ulifanya vizuri zaidi kwenye media pamoja na kwenye mitandao ya kijamii.
Willy Paul wiki hii ametangaza ujio wa project mpya akiwa na Nandy ambaye ameonekana kuwa naye na chemistry nzuri.
Hizi ni picha za maandalizi ya kazi yao mpya.
Dodoma: Wazari wa habari, sanaa utamaduni na michezo Dkt Harrison Mwakyembe ameseama kuwa mwanamuziki mashughuli Afrika mashariki Naseib Abdul maafuru kama
Akizungumza bungeni leo Aprili 17, Waziri Mwakyembe amesema serikali imeshatunga sheria inayowabana wasanii na kudhibiti maudhui yasiyo na maadili mitandaoni.
Mbali na hilo Mwakyembe ameagiza msanii mwingine Nandi kusakwa na polisi akisisitiza kauli yake kuwa Tanzania siyo kokoro la uchafu.
Ametoa kauli hiyo wakati anajibu swali la nyongeza la mbunge wa Ulanga Godluck Mlinga aliyetaka kujua serikali ina mkakati gani kukomesha tabia za baadhi ya watu wanaotumia mitandao vibaya ikiwemo kuhamasisha masuala ya ushoga.
Awali serikali ilitaja changamoto kubwa inayolikabili taifa ni athari ya utamaduni wa nje katika maadili, mila na desturi za Mtanzania kutokana na kuwepo na muingiliano mkubwa wa watu duniani. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Juliana Shonza wakati akijibu swali la mbunge, Nuru Awadh Bafadhili.
Mbunge huyo alitaka kujua serikali ina mkakati gani madhubuti wa kuhakikisha vijana wa Kitanzania wanasimamia maadili. Hata hivyo Shonza amesema kinacholeta shida hadi nyimbo kuwa hazina maadili ni tabia ya wasanii kutopeleka nyimbo zao kuhaririwa katika baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)