in

Picha za kuma.card b

PDF | On Apr 25, 2021, Swagat M Karve and others published "Video Stabilization and Motion Detection using MATLAB Video Processing Toolbox." | Find, read and cite all the research you need on ResearchGate

Lakini jambo ambalo huenda hulijui kuhusu msaniii huyo mwenye umri wa miaka 26 ni kwamba amekuwa mcheza dansi wa kujiambua katika klabu za burudani, amekuwa nyota wa Instagram na muigizaji wa vipindi vya uhalisia katika televisheni.

Katika kipindi cha miaka miwili ameibuka kutoka kuwa mchezaji wa kujiambua, au kwa baadhi watasema mcheza utupu, hadi kuweka historia katika tuzo ya Grammy kwa kuibuka msanii wa kwanza wa kike wa kipekee aliyeshinda tuzo kwa albamu bora ya mtindo wa rap – kwa albamu yake ya 'Invasion of Privacy'.

Anasema wakati akikuwa, rafiki zake walikuwa wakimuita Bacardi na alilibadili jina hilo na kuishia kuwa Cardi B.

"Imeshinikiza muziki wangu na namna nilivyokuwa. Daima nilikuwa mrembo na mcheshi sana kwa hivyo kila mtu alitaka kupigana na mimi, na nikalazimika kupigana nao."

Akiwa na umri wa miaka 19, Cardi B alianza kufanya kazi kama mcheza utupu au kujiambua.

"Mara ya kwanza nilipocheza utupu, niliona aibu kubwa sana, Nilihisi kama nasikia sauti ya wazazi wangu kichwani mwangu," ameliambia jarida la ID mnamo 2018.

Lengo lake ilikuwa ni kuachana na kucheza utupu alipotimia miaka 25 na kuweka akiba ya kutosha kununua nyumba alafu aipangishe.

Katika kipindi hicho , anazungumzia mpenzi wake ambaye yupo gerezani na kazi yake katika sanaa ya muziki.

Katika mojawapo ya msururu wa kipindi hicho, Cardi B alimrushia kiatu chake chekundu nyota mwenza Asia.

Walionekana kana kwamba wameweka tofauti zao kando, baada ya kuonekana pamoja katika tuzo ya Grammys mwaka huu.

0 0 votes
Hot or Not?
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments

What do you think?

Alexis fawx only fans

Seltin sweet cam vids