in

Kum ya zuchu picha

Pages: 12Next »

Jana Jumapili tulianza na makala ya nyota mpya wa kike kutoka lebo ya WCB, Zuchu ambaye alianika mambo yake kadhaa ikiwamo kuruka kimanga kuwa na uhusiano na bosi wake na staa wa muziki wa kizazi…

Sukari inatumika zaidi kwenye chai na watoto hupenda kutia nyingi katika kikombe kama hakutakuwepo na uangalizi wa mzazi au mlezi. Ila kwenye kahawa ni watu wazima wachache hupendelea. Hii ni kinyume kabisa na Sukari ya Zuchu ambayo inaonekana inahitajika zaidi kwenye kahawa kuliko chai.

“Nikitaka kusitisha ananiambia ongeza, japo imethibitishwa ila itampoteza,” anasema Zuchu mwanzoni kabisa mwa wimbo huu uliotayarishwa na Prodyuza Laizer.

Ikumbukwe wimbo huu ulitoka siku moja baada ya Prof. Jay kuwashauri wasanii kupunguza kuimba mambo ya kitandani katika nyimbo zao kwani hata mambo ya kijamii yanaweza kuukuza muziki wao.

Zuchu ameiandika wimbo Sukari kwa kutumia zaidi tafsida kwa lengo la kuficha na kupunguza ukali wa baadhi ya maneno – ametengeneza lugha ya picha kubwa ambayo wapenda chai hawawezi kuisoma na hata wakiisoma hawataielewa. Hii ndio kazi ya msanii na sanaa yenyewe kwa ujumla.

Hata hivyo, nyimbo za namna hii kwa sasa zimeshamiri kwenye Bongo Fleva ingawa zimekuwa zikikabiliana na ukosolewaji mku-bwa kutoka kwa baadhi ya watu. Huku nyingine zikifungukiwa na mamlaka husika kama Baraza la Sanaa Taifa (Basata) kutokana na kutumia lugha ya picha ambayo pengine ni rahisi mno kueleweka au yenye ukakasi.

KOCHA wa Simba, Pablo Franco ameliambia Mwanaspoti kwamba kwa aina ya wachezaji aliowakuta Msimbazi mbinu tatu tu zinatosha kumpa mafanikio msimu…

Jana Jumapili tulianza na makala ya nyota mpya wa kike kutoka lebo ya WCB, Zuchu ambaye alianika mambo yake kadhaa ikiwamo kuruka kimanga kuwa na uhusiano na bosi wake na staa wa muziki wa kizazi kipya nchini anayemiliki lebo hiyo, Diamond Platnumz.

Pia Zuchu aliweka bayana kuwa na tatizo la pumu ambayo imemfanya awe anatembea na dawa kwenye mkoba wake, ili likitokea la kutokea aweze kuweka mambo sawa mapema na kueleza namna tuzo za Afrimma zilivyompagawisha kwa kuteuliwa kuwania mwaka huu.

Katika kufunguliwa milango ya kulipwa kwenye shoo, Zuchu anasema wa kwanza kumlipa alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo alipompatia mwaliko wa kwenda wilayani humo kwenye uzinduzi wa mradi wa maji.

Hata hivyo, pesa hiyo anasema hakuna cha maana alichoifanyia zaidi ya kununua vitu vyake vya usichana lakini sio kitu ambacho cha kukaa na kukumbuka hiki nilinunua kwa fedha hizo.

0 0 votes
Hot or Not?
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments

What do you think?

Rubber bondage cartoons

Cherry nude milf big tits