in

Jamii forum.com aina za kuma

Muhtasari

Napenda kusoma ili niwe na mawazo mapana. Hakuna ambacho sikupenda kusoma. Nilikuwa na ndoto ya kumaliza shule niende chuo nihitimu, na nifanye kazi kama muhasibu.

Kama ilivyo kwa vijana mamilioni wa Tanzania, Imani, 20, kutoka Mwanza, mkoa wa Kaskazini Magharibi uliyopakana na Ziwa Victoria, alitaka kusoma kadri awezavyo ili aweze kuhitimu, kupata kazi, na aweze kujikimu na kusaidia familia yake.

Watafiti walitembelea shule tano za sekondari za Serikali na kituo kimoja cha ufundi stadi kufanya mahojiano na maofisa waandamizi na walimu 20. Vile vile tulifanya mahojiano na maofisa waandamizi na viongozi nane wa Chama cha Walimu Tanzania. Kuepuka aina yoyote ya madhara kwa washiriki hawa, majina ya baadhi ya walimu na maofisa waandamizi yamefichwa kulinda utambulisho wao pale ambapo taarifa iliyotolewa inaweza kupelekea kulipiza kisasi kutoka shule nyingine au viongozi wa Serikali za Mitaa.

Tumepitia sheria za Tanzania, sera za Serikali na ripoti, matamko ya bajeti na ripoti za maendeleo, mawasilisho ya Serikali kwa taasisi za Umoja wa Mataifa, ripoti za UN, ripoti za NGO, makala za kitaaluma, makala za magazeti na mijadala katika mitandao ya kijamii miongoni mwa mengine. NGO tatu zilishiriki kwa kutoa takwimu, tafiti zilizokwisha fanyika na tathmini kutokana na tafiti zao pamoja na shughuli za uhamasishaji katika shule za sekondari.

Kwa mujibu wa Sheria ya Elimu Tanzania, watoto wote walio na umri zaidi ya miaka saba lazima wahudhurie na kumaliza elimu ya msingi.

Watoto wengi walio katika umri wa kwenda shule wanakabiliwa na vikwazo vya kijamii na kiuchumi vinavyowazuia kupata elimu, vikwazo hivi ni pamoja na masuala ya jinsia, ulemavu au kipato. Watoto na vijana wengi pia wanakabiliwa na ukiukwaji wa haki za kibinadamu na vitendo vyenye madhara ikiwa ni pamoja na ajira za watoto na ndoa za utotoni ambavyo vyote vinapelekea suala la kupata elimu kuwa gumu au kushindakana kabisa.

Mwaka 2015 na 2016, Tanzania ilikua nchi waanzilishi wa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Kukomesha Ukatili dhidi ya Watoto ambao unatokana na dhamira ya kumaliza suala la ukatili dhidi ya watoto ifikapo mwaka 2030.

Serikali inakadiria kwamba asilimia 74 ya watoto wote wa Tanzania wanaishi katika “umasikini wa aina mbalimbali”, na kwamba asilimia 29 wanaishi katika kaya zilizo chini ya kipimo cha umasikini wa fedha

Elimu ni haki ya msingi inayotajwa katika makubaliano mbalimbali ya kimataifa yiliyoridhiwa na Tanzania, ikiwa ni pamoja na Mkataba ya Umoja wa Mataifa Juu ya Haki za Mtoto, Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Kiuchumi, Kijamii na Kiutamaduni (ICESCR), Azimio la Afrika la Haki na Ustawi wa Mtoto na Azimio la Vijana wa Afrika.

Serikali huongozwa na vigezo muhimu vinne katika kutekeleza majukumu yake katika elimu: kupatikana, kufikiwa, kukubalika na kuendana na mazingira. Ni lazima elimu ipatikane nchini kote ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miundombinu bora na ya kutosha inawafikia watu wote kwa usawa. Mfumo na maudhui ya elimu ni lazima viwe katika ubora unaokubalika na kukidhi viwango, na elimu iendane na mahitaji ya wanafunzi kwa kuzingatia utofauti wa kijamii na kiutamaduni.

Serikali inawajibu wa kuhakikisha aina mbalimbali za elimu ya sekondari zinapatikana na kufikiwa huku ikichukua hatua thabiti katika kufikia lengo la kutoa elimu ya sekondari bure. Jitihada zaidi kama vile kutoa misaada ya kifedha kwa wale wenye mahitaji zinahitajika kuhakikisha elimu inapatikana kwa wote.

Lazima Serikali zihakikishe usawa katika upatikanaji wa elimu isiyokuwa na ubaguzi. Kwa mujibu wa Kamati ya Haki za Kijamii, Kiuchumi na Kiutamaduni, “ubaguzi unajumuisha tofauti yoyote, kutengwa, vizuizi, au aina yoyote ya upendeleo ambayo kwa namna moja au nyingine inalenga kubagua, kukataza, kushindwa kutambua au kuzuia utekelezaji wa haki na usawa.”

0 0 votes
Hot or Not?
Subscribe
Notify of
guest
0 Comments
Oldest
Newest Most Voted
Inline Feedbacks
View all comments

What do you think?

Xxx family affair

Zoe bloom nymphs