Chrissy Teigen ametokea kwa mara ya saba kwenye jarida la Sports Illustrated Swimsuit Issue. Mrembo huyo ambaye kwa sasa anatarajia kujifungua mtoto wa kike na mume wake John Legend, ameshare picha mbili kutoka kwa toleo hilo la kila mwaka Jumatatu hii.Katika picha hiyo iliyopigwa visiwani Zanzibar, mrembo huyo mwenye miaka 30 amepozi mtu akiwa kwenye…
Blog inayokusaidia kujua mambo mengi duniani usiyoyajua na unayoyajua kwa undani zaidi. “KARIBU”
Tamasha hili lililokuwa likifanyika kwa siku mbili mfululizo, ambapo siku ya jana mrembo huyo alipata nafasi ya kukonga nyoyo za mashabiki wake. Kwa muda kadhaa kumekuwa na tetesi kuwa mrembo huyo anaweza akasajiliwa katika lebo ya Roc Nation, inayomilikiwa na rapper Jay Z ambaye naye alikuwepo katika tamasha hilo na alimpongeza mwanadada huyo kwa kupiga show kali.
Hata hivyo, hajaeleza alikuwa amelala katika hoteli gani.
Savage, ambaye jina lake kamili ni Tiwatope Savage-Balogun, alikuwa amezuru Kenya kutumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa almabu mpya ya mwanamuziki nyota kutoka Kenya kwa jina Redsan siku ya Jumamosi. Mwanamuziki wa Jamaica Demarco pia alitumbuiza.
Ameandika hata hivyo kwamba bado anaipenda Kenya na ataendelea kutumbuiza mashabiki wake.
@RonoKech ameandika: "Hawajefanyia Tiwa Savage poa."
Kwa mfano @iNaheemMUFC ambaye ameandika: "Tiwa Savage anafaa kujua pesa tuliomba wachina loan tulinunua nazo uniform mpya za makarao hatTiwa Savage anafaa kujua pesa tuliomba wachina loan tulinunua nazo uniform mpya za makarao hata promoters pia hawana kakitu. Tumesota."
Anatania kwamba Wakenya wameishiwa na pesa pekee walizokopa zilitumiwa kununua sare mpya za polisi.
Ishu nzima inaelezwa ilianza kwenye mitandao ya kijamii mara baada ya Wizkumuondoa ‘unfollow’ mzazi mwenzake ambapo kwa sasa amekuwa akifuatana na Tiwa kila kona.
Tiwa aliwahi kuwa katika uhusiano na Teel Billz na kubahatika kuzaa naye mtoto mmoja, Jamil.